Tuesday, December 30, 2014

Zawadi kutoka Matombo



Nimerudi kutoka Matombo na kuwaletea zawadi hii ya Kanisa Katoliki Mt.Paulo,Parokia ya  Matombo. Christmass ya mwaka 2014 nimeimba Gloria ndani ya Kanisa hili lenye miaka ipatayo 117. Kwa maelezo ya Paroko wa Parokia hii Fr. Kobelo, ni Christmass ya kwanza kusherehekea kwa kutumia umeme wa TANESCO tangu Kanisa hili lijengwe. Nishati iliyokuwa ikitumiwa miaka ya nyuma ni karabai, jenerata na hivi karibuni umeme wa solar (nguvu za jua). TUMSIFU YESU KRISTU.

No comments: