Friday, December 12, 2014

Nyumba ya wageni Lyamungo-Morogoro


Nyumba ya wageni Lyamungo ya mjini Morogoro maeneo ya Misufini imetia fora kwa huduma nzuri. Sifa nzuri za nyumba hiyo usafi,ulinzi,uongozi bora na ucheshi wa wahudumu. Nyumba hii iko karibu sana na msikiti maarufu wa Mahita.

No comments: