Tuesday, December 30, 2014

Mt. Paulo-Msimamizi wa Parokia ya Matombo

Sanamu hii niliiona tangu nikiwa mdogo ndani ya Kanisa la Mt. Paulo, Parokia ya Matombo. Mwaka huu nimeweza kuipiga picha na kupata kumbukumbu nzuri ya parokia yetu yenye historia ya miaka takribani 117 tangu ianzishwe. Mtume Paulo ameandika barua (waraka) nyingi zenye mafundisho ya Kristo kwa watu wake na yenye mafundisho mazuri kwa watu wote hata sasa. Amewaandikia Warumi, Wakorintho, Waefeso, Wafilipi,Wakolosai, Wathesalonike, Waebarania na Wagalatia.Ameandika barua pia kwa Timoteo

No comments: