Friday, December 19, 2014

Ni wakati wa kujiandaa kwa Krismass

Krismass inakaribia. Familia zinajiandaa kumpokea mtoto YESU. Parokia ya Mt. Vinsenti wa Paulo ya Vikindu imeandaa bahasha za matoleo kwa ajili ya Xmass. Pichani Bibi Josephine Mutahangarwa na mjukuu wake Joseph (Joe) Mutahangarwa wakijiandaa kuweka kwenye bahasha matoleo yao wakati walipohudhuria Jumuiya tarehe 13/12/2014. Familia ya Mutahangarwa ni waanzilishi wa  Jumuiya ya Mt. Joseph Mfanyakazi.

No comments: