Tuesday, December 23, 2014

Prof. Temu - Mchumi anayetembea

Prof. Andrew Temu akishangaa ukubwa wa kiazi kilicholetwa sokoni. Huyu na Professor Mchumi kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine kilichopo mjini Morogoro. Temu ni Professor mweledi na mwenye uzoefu. Utafurahi akifundisha na kutoa mada na pia utampenda akiwa mwezeshaji. Kweli Prof. Temu ni mchumi anayembea.

No comments: