Friday, December 12, 2014

Malamsha Meneja wa Nyumba ya Wageni Lyamungo - Moro

Nafikiri baada ya kuiona picha hii wataifurahia. Kwa wale waliobahatika  kusafiri kwenda mjini Morogoro na hasa waliowahi kulala kwenye nyumba ya wageni ya Lyamungo iliyoko Morogoro maeneo ya Misufini watakabaliana na mimi kuwa Meneja Malamsha huenda ni mmoja ya mameneja bora kabisa wa nyumba za wageni hapa nchini. Malamsha wa kwanza kufika kazini na wa mwisho kurudi nyumbani baada ya kuhakikisha kuwa wateja wake wamepata huduma muhimu zinazotolewa kwenye nyumba hiyo.

No comments: