Tuesday, December 30, 2014

Khanga ya Africana Group

Africana Group a.k.a Kibanda Kimoja, imeanza kuuza khanga zenye nembo ya group hiyo. Bei Tshs 15,000/= /doti moja. Wasiliana na Banzi wa Moro.

No comments: