Friday, December 19, 2014

Mt.Joseph Mfanyakazi Jumuiya inayokua






Jumuiya ya Mt.Joseph Mfanyakazi-Parokia ya Vikindu Jimbo Kuu la Dar Es Salaam ni Jumuiya kongwe na inayokua kwa kasi wenye moyo wa kushirikiana, kusikiliza na kutafakari neno la Mungu, wenye huruma, watoaji kwa lengo la kujenga Kanisa. Angalia idadi ya wanajumuiya watoto watu wazima na vijana wote wakiwa na furaha walipokuwa kwenye mkutano wa Jumuiya nyumbani kwa Familia ya Simon Nkwera anayeishi Soweto, Kisemvule.

No comments: