Thursday, June 28, 2012

Dr. Everina Lukonge

Dr. Everina Lukonge ni Mratibu wa Utafiti zao la Pamba hapa nchini ambapo makao yake makuu ni Kituo cha Utafiti Ukiriguru Mwanza. Kitaaluma yeye ni 'Plant Breeder' (Pichani akiwa katika vijashamba vya majaribio ya utafiti wa muhogo huko kibaha akitoa maelekezo ya kitaalamu)

No comments: