Friday, August 3, 2012

Banzi-Miaka 15 ya Ndoa

Jana tarehe 2/8/2012 ni kumbukumbu ya kubariki ndoa yetu mimi na mkewe wangu Nancy Ireneus Mbawala
.Ni miaka 15 imepita sasa.Kumbukumbu zinaonyesha bajeti ya sherehe za harusi yetu mwaka 1997 ilikuwa ni Tsh 830,000/-. Nawashukuru wote walioshughulika kwa ajili yetu. Tunamshukuru Mungu.

1 comment:

Belo said...

MUNGU awajalie afya njema na maisha marefu pamoja na familia yenu