Thursday, August 23, 2012

Sudan Kusini - ASARECA

Hivi karibuni ASARECA ilipata mwanachama mpya - Sudan Kusini. Hii inafanya ASARECA kuwa na nchi wanachama 11. Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1994. ASARECA imekuwa na nchi wanachama 10 nazo ni Burundi, Democratic Republic of Congo, Eriteria, Ethiopia, Kenya, Madagascar, Rwanda, Sudan, Tanzania na Uganda

No comments: