Friday, August 24, 2012

Unga wa dona kutoka Hanang

Kwenye maonyesho ya kilimo (NANENANE)ya mwaka 2012, kikundi cha wasindikaji kutoka Hanang Kanda ya Kaskazini kilipeleka unga aina ya dona unaotokana na mahindi ambayo hayajakobolewa. Unga aina ya dona ni mzuri kwa afya kwa sababu hutunza viinilishe muhimu hasa protini.Unga huu ulipendwa sana na walaji.

No comments: