Tusikimbilie kuzuia mazao ya chakula kuuzwa nje ya nchi. Wataalamu inawapasa kufanya tafiti za kina zitakazoishari serikali mlango wa kuingilia ili wakulima waweze kufaidika kwa kuuza mazao nje hivyo kuongeza ari ya uzalishaji na huku serikali ikihakikisha kuwa na chakula cha kutosha kuweza kutosheleza wananchi wake wakati wote. (Picha kwa hisani ya jarida la AgriForum- ASARECA May-October 2012)
No comments:
Post a Comment