Saturday, August 25, 2012

Zai-Mama wa shughuli siku ya Iddi

Kama kuna mtu aliyekuwa busy siku ya Idd - mosi nyumbani kwa Mkude basi ni Bi Zai Kasiba (mwenye vazi refu). Alitupokea kwa shangwe na kutupelekea sebuleni. Akutuwekea picha ya Majuto na kututengea chakula

No comments: