Thursday, August 23, 2012

Utafiti mahindi ya GMO- Afrika Mashariki

Kupambana na hali ya uhaba wa chakula, watafiti hawalali mpaka kieleweke. Pichani ni baadhi ya watafiti ambao wanashughulikia kupata mbegu ya mahindi ya GMO itakayotolewa Afrika Mashariki yenye sifa ya kuvumilia ukame. Micah Songaleli - Mtanzania kutoka kituo cha utafiti Mikocheni yupo kwenye jopo hilo.
(Picha kwa hisani ya Jarida la AgriForum-ASARECA - May-October 2012)

No comments: