Saturday, August 25, 2012

Iddi yangu - 2012

Iddi yangu mwaka 2012 nililia - Mbezi Kibanda cha Mkaa baada ya kupta mwaliko wa nguvu kutoka kwa Bw na Bi Lawrence Mkude. Mambo yalikuwa hivi
Bi Sango Kasiba a.k.a. Mama Mkude alitukaribisha kwa kicheko cha Idd!
Tulipumzika sebuleni
Mr. Mkude alitoa huduma ya chakula kwa watoto.
Watoto walijisikia nyumbani kwa kukalia majamvi na kupata msosi wa nguvu
Wageni wa heshima hawa hapa

No comments: