Saturday, August 25, 2012

Heshima ya mgeni kusindikizwa

Moja ya sifa kubwa ya Watanzania ni kupendana. Baada ya kusheherekea vizuri sikukuu ya Iddi 2012 nyumbani kwa Bw. Mkude Mbezi-Kibanda cha mkaa- Dar, tulisindikizwa kurejea kwetu Kisemvule, Vikindu, Mkuranga mkoa wa Pwani muda wa saa 11.30 jioni

3 comments:

Unknown said...

sasa mbona ude na sisti hawajaonekana

Unknown said...

mbona sisit na ude hawapo

Unknown said...

sasa mbona ude na sisti hawajaonekana