Friday, August 24, 2012

Mazao yanayozalishwa wilayani Hanang

Haya ni baadhi ya mazao yanayozalishwa wilayani Hanang. Wakulima waliyapelekea kwenye maonyesho ya Nanenane ya mwaka 2012 yaliyofanyika katika kanda ya kaskazini jijini Arusha

No comments: