Friday, August 24, 2012

Masista wakiwa kwenye maonyesho ya kilimo

Masista wa dhehebu la Katoliki walitembelea maonyesho ya kilimo Kanda ya Kaskazini yaliyofanyika kwenye viwanja vya Temi jijini Arusha mwezi Agosti 2012 kwa lengo la kupata teknolojia bora za uzalishaji katika kilimo. Pichani wanaonekana (wenye shela nyeupe) wakipata maelezo kwenye sehemu ya vipando banda la Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika.

No comments: