Tuesday, January 5, 2010

Konokono wanaliwa


Afrika hihii, konokono wanaliwa tena inasemekana kuwa ni chakula kizuri chenye protein. Konokono huokotwa msituni na kutumiwa kama mboga. Shughuli hii hufanywa na wanawake. Hebu angalia pichani mwanamke akionyesha bonge la konokono. Kweli konokono ni mali.

1 comment:

gassim said...

jamani vyakula vyote Africa hata konokono mnataka kula kama protein kuna vyakula vingine