Wednesday, October 15, 2014

Ajali iliyotokea Mbagala juzi usiku



Ajali ya kuungua kwa tank la mafuta eneo la Mbagala njiapanda ya kwenda Charambe usiku wa tarehe 13/10/2014. Licha ya kutokea vifo kwenye ajali hiyo, lakini hakuna anayefahamu idadi halisi ya watu waliopoteza maisha. Hata hivyo kutokana na simulizi za baadhi ya wananchi, wako wanaosema kuwa ni laana kutokana na vitendo vilivyokuwa vikifanyika kwenye Bar hiyo ya United States of America ambayo inatoa huduma pia ya kulala wageni. Kuna wanaodai kuwa biashara ya ukahaba hasa ya ushoga ilikuwa ikifanyika sana kwenye bar hiyo. Huenda hiyo ni laana ya Mungu. Banzi wa Moro alipata fursa ya kuchukua picha hizo chache siku ya jana wakati akielekea Mbagala kwenye mishemishe zake akiwa ndani ya bus.

No comments: