Wednesday, October 15, 2014

Pilika za Africana-Mikocheni





Tarehe 12/10/2014. Allen Mbawala, mtoto wa dada Mary Mkoba wa Mikocheni alipata communio. Africana Group ilikowepo. Angalia kashkash zao za kutunza. Eti nyimbo yao ilikuwa Niseme ni siseme ya YAMOTO BAND (Mkubwa na Wanae). Hebu check unaowatambua pichani kisha nipe feedback. Ilikuwa shughuli nzito. Ni shidaaaaa!

No comments: