Wednesday, October 15, 2014

Nani anayejali ujumbe wa mabango




Miaka ya hivi karibuni, Watanzania tumejenga mazoea ya kuwa na mabango ya matangazo kwa lengo fulani (ingawa sifahamu kama yote yanalipiwa hapa jijini Dar).Ninachojiuliza ni Je, tunajali ujumbe ulipo kwenye mabango?

No comments: