Thursday, October 16, 2014

Tulikuwepo Mikocheni




Wengine walitoka Kungwe, Kisemvule, Tabata, Yombo,Kimara,Ursino,Kigogo,Mikocheni, Magomeni, Kinondoni, Buguruni, Ilala....... Wakubwa kwa watoto, sote tulialikwa Mikocheni. Je umewaona unaowafahamu? Hii ndiyo raha ya tafrija za kiafrika. Hakuna kadi ya mwaliko. Mwalikaji anaona furaha kuwaona ndugu na marafiki zake wakifurahia kwa pamoja. Hapa ni Mikocheni nyumbani kwa uncle Paul Mkoba (12/10/2014)

No comments: