Wednesday, October 15, 2014

Biashara ya magate

Nyumba nyingi zinazojengwa siku hizi hasa mijini ni sharti kuweka 'gates' hii inaashiria kuwa usalama wa raia na mali zake umepungua kwa kiasi kikubwa hasa mijini. Tamaa imekuwa kubwa hivyo unapojenga nyumba yako unashauriwa kuweka gates angalau kwa mlango wa mbele au nyuma ili kama wezi wanataka kuingia hasa usiku wapate shida kidogo hivyo kukushtua ili ujiandae. Haina maana kuwa ukiweka gate hutoibiwa. La hasha!

No comments: