Thursday, October 16, 2014

Walibahatika kulishwa cake ya communio












Ni wangapi waliokwisha pata bahati kulishwa cake ya communio? Mimi nimeshapata. Tarehe 12/10/2014 nililishwa cake tamu ya communio pale Mikocheni wakati wa sherehe ya communio kwa watoto wa Mzee Paulo Mkoba. Heshima hiyo niliipata kwa kuwa nilikuwa mjomba!

No comments: