Monday, October 27, 2014

Furaha tupu

Eti harusi imefana sana mwenzangu. Bw & Bibi  Kijimbo wakifurahia jambo ndani ya ukumbi wa Maaskofu, Kurasini jijini Dar wakati wa tafrija ya mapokezi ya Bw & Bibi Remmy shayo tarehe 26/10/2014

No comments: