Thursday, October 16, 2014

Communio haikukosa sare

Sare zilishonwa na pia rusha roho ilirushwa kwa sana nyumbani kwa Mzee Mkoba tarehe 12/10/2014 wakati wa sherehe ya communio ya watoto wake.

No comments: