Wednesday, October 15, 2014

Na huyu anauza karanga za kuchemsha

Hapa ni ndani ya kituo cha mabasi - Mbagala Rangi 3. Abiria wanapanda bus la kwenda Mkuranga. Mwanamama huyu anachuuza karanga za kuchemsha ni biashara inayoanza kushamiri kwa kasi hapa jijini. Wakulima, soko la karanga liko Dar. Kama mahindi yametosha tugeukie kwenye karanga ili tuweze kuzalisha mafuta safi ya karanga kwa matumizi ya ndani ya nchi na kuuza nje ya nchi ili kuongeza pato la taifa.

No comments: