Wednesday, October 15, 2014

Nimekutana na shemeji yangu

Nipo kwenye mazungumzo na joke kali na shemeji yangu wa siku nyingi Salome Kobelo wakati wa tafrija ya kumpongeza uncle Allen Mbawala wa Mikocheni kwa kupokea communio ya kwanza

No comments: