Monday, October 6, 2014

Kumpa asiyekupa ni sawa na kutupa

Huwa ninafurahi na kujifunza ninaposoma ujumbe unaoandikwa kwenye magari. Huu unasema 'kumpa asiyekupa ni sawa na kutupa' tawire! (Picha kwa hisani ya kurasa ya fb ya Dr. Louis Kasuga wa ARI, Naliendele)

No comments: