Tuesday, October 21, 2014

Vyuo Vikuu 10 vya zamani Duniani




Na Jina Nchi Jiji/Mji Mwaka kilipoanzishwa Maelezo
1 Bologna Italia Bolgna 1088
Chuo Kikuu cha Bologna
Kwa sasa ina wanafunzi zaidi ya 100,000 2 Paris Ufaransa Paris 1150   3 Oxford Uingereza Oxford 1096? Mwaka 1254 Papa Innocent IV aliipa Oxford Nembo ya Chuo Kikuu ("Querentes in agro") 4 Cambridge Uingereza Cambridge 1209   5 Salamanca Hispania Salamanca 1218 Chuo Kikuu cha Kwanza Ulaya kupewa ngazi ya kuitwa Chuo Kikuu 6 Padua Italia Padua 1222 Hadi mwaka 2010 ilikuwa na wanafunzi wapatao 65,000 7 Naples Federico II Italia Naples 1224   8 Toulouse Ufaransa Toulouse 1229   9 Siena Italia Siena 1240 Mahiri kwa Sheria na Utabibu 10 Valladolid Hispania Valladolid 1241 Takwimu za hivi karibuni - wanafunzi 31,780 na walimu 2000 

No comments: