Wednesday, October 22, 2014

Mbwembe za kampeni za uchaguzi Tanzania

Wakati wa pilika za uchaguzi kuna mbwembe nyingi. Hapa ni Arusha. Tusubiri kuanzia sasa hadi mwaka 2015 tutaona vituko vingi. Wagombeaji wawe tayari kutumia fedha nyingi ili kuhamasisha wapiga kura.

No comments: