Wednesday, October 15, 2014

Akina mama na biashara ya muhogo wa kutafuna

Tembelea kwenye barabara za jijini Dar hukosi biashara ya muhogo wa kutafunwa inayouzwa na akina mama. Kwa kawaida mihogo hiyo ni meupe na migumu lakini ni mitamu. Wengine huuza na nazi mbata (iliyokomaa) kwa vipande. Wateja wakubwa wa biashara hii ni wanaume hasa madereva. Kuna siri ipi ya  muhogo wa kutafuna na nazi mbata?

No comments: