Wednesday, October 15, 2014

Mjomba alipewa 'chitumbe'chake

Kama unataka mjomba wa Kiluguru asisuse shughuli yako we mkabidhi 'chitumbe' chake (chungu cha pombe). Hapo utakuwa umemuheshimu sana na atakaa mpaka mwisho. Ndivyo walivyonifanyia Mikocheni siku ya tarehe 12/10/2014 wakati wa sherehe za communio za uncle Allen Mbawala!

No comments: