Thursday, October 16, 2014

John Jakka Kobelo ndani ya nyumba!

Mwanetu John Jakka Kobelo  (mwenye jeans) alikuwa ndani ya nyumba pale Mikocheni tarehe 12/10/2014. Jakka Kobelo enzi zake alipiga soka la uhakika pale Mikocheni. Huenda angechezea Taifa Stars kama angejifua vya kutosha.

No comments: