Wednesday, October 15, 2014

Mishemishe za Mbagala Rangi 3





Hapa ni Mbagala Rangi 3 jijini Dar. Kila mmoja na mishemishe zake. Kuna wanaosafiri kwa bodaboda,daladala na hata Toyo! Wengine hubeba mizigo kichwani!

No comments: