Wednesday, October 15, 2014

Wanafunzi wa St.Mathew High School ya Mkuranga

Wanafunzi wa St. Mathew wakijadiliana. Usione ajabu hiyo ndinga ameendesha mwanafunzi mpaka shuleni wakati anatoka likizo. Shule hii inayomilikiwa na Bw. Mtembei ni ya watoto wa kutoka kwenye familia zenye uwezo. Kama unabisha fika siku ya mahafali ya shule hii utakoma ubishi. Tabaka za walichonacho na wasio nacho zinaanzia hapa.

No comments: