Wednesday, October 15, 2014

CCM ilivyojipenyeza

Popote walipo wananchi, CCM ipo hapa ni Mbagala Rangi 3 Terminal. Unachoshuhudia ni Tawi la CCM ndani ya kituo cha mabasi yaendayo Mkuranga na Vitongoji vyake.

No comments: