Monday, October 6, 2014

Daraja la Songwe wilayani Kyela

Hapa ni mpakani mwa Tanzania na Malawi.Hili ni daraja la Songwe. Mtanzania huyu hana VISA lakini tayari yuko Malawi. Tunagombea nini? Mipaka ni ya wakoloni tu. Sisi sote ni wamoja.

No comments: