Wednesday, October 15, 2014

Mbali Masasi


Hapa ni mpakani mwa mkoa wa Pwani na Dar Es Salaam. Ni Kongowe njiapanda ya kwenda Kigamboni. Hebu soma vibao vya TanRoads vinasemaje? Kwa kweli Masasi ni Mbali. Lakini siyo mbali sana kama Dar-Bukoba au Musoma!

No comments: