Thursday, October 16, 2014

Allen Mbawalla ndani ya suti ya communio

Nakumbuka nilipopata communio ya kwanza nilinunuliwa kaptura ya mpira. Sikumbuki kama nilikuwa na viatu. Huyu uncle kapiga suti ya nguvu. Sijui siku ya harusi yake atatoka vipi. Maendeleo makubwa!

No comments: