Thursday, October 16, 2014

Cake kutoka Lusangalala-Matombo

Cake hii ya communio imetoka Lusangalala-Matombo, Morogoro  ndiyo iliyotumika katika sherehe ya watoto wa Paul Mkoba siku ya tarehe 12/10/2014. Imeokwa kwa mchanganyiko wa muhogo, ndizi a.k.a ng'owo,viazi  a.k.a vhimoka, mtama  a.k.a uhemba, ngano, mahindi mateke a.k.a.komola. Utamu 'chinu'

No comments: