Thursday, October 16, 2014

Hivi kwa nini cake huingizwa ukumbini kwa vifijo?

Kwenye shughuli nyingi nilizohudhuria mara nyingi nimeshuhudia cake ikiingizwa ukumbini kwa shangwe. Hii maana yake nini hasa? Pichani Mrs. C.Mkoba akitanguliza msafara wa cake tayari kwa kukatwa siku ya tarehe 12/10/2014 huko Mikocheni-Dar.

No comments: