Wednesday, October 15, 2014

FREDDY MLOKA @ 50 - PARTY YAKE

Alishtukizwa-Hakuamini macho yake

Mama Mloka, Mzee Mwichumu na mkewe wakishangaa vimbwanga vya birthday

Dinelle  Mloka alifungua champaigne ya miaka 50


Maandalizi ya ufunguzi wa champain

watoto walijitahidi kufungua champaigne

Freddy alitoa Demo!

Huyu ameweza hureeee!


uncles walimtegeshea utandao wa birthday!

Na kweli alinaswa





simple!-bites ziliandaliwa

Vinywaji havikukosekana

Mrs Catherine Mloka akiandaa cake ya Freddy @ 50!

Hii ndiyo-HIGH TABLE

No comments: