Thursday, October 2, 2014

Hangadi-Kiazi cha asili

Kiazi hiki ni cha asili. Ingawa sina uhakika kama kinaweza kukaangwa na kuwa chips lakini ni kizi. Waliotembelea mabanda ya kilimo kwenye maonyesho ya nanenane 2014 sijui kama waliuliza. (Picha na Louis Kasuga wa ARI-Naliendele)

No comments: