Thursday, October 2, 2014

Mboga ya spinach

Wengi tunapenda kula mboga ya spinach. Tujiulize, tunajua inavyostawishwa? Waulize wataalamu wa kilimo walio karibu nawe wakueleze. Hapa ni kule Lindi yalikofanyika maonyesho ya Sikukuu ya Wakulima Agosti 8 2014.

No comments: