Wednesday, March 19, 2014

Ajali barabara ya Morogoro

Ajali inapotokea ni hasara tupu kwa gari na biashara. Angalia jinsi mahindi yalivyasambaratika  katika ajali hii.

No comments: