Monday, March 24, 2014

Njia ya Msalaba ndani ya Kanisa Katoloki Matombo

Ijumaa ya tarehe  21 Machi 2014 nimebahatika kuhudhuria ibada ya njia ya msalaba kwenye kanisa langu la Matombo, Parokia ya Mt. Petri na Paulo. Tumsifu YESU KRISTU. AMINA.

No comments: