Tuesday, March 4, 2014

Madhara ya kuungua kwa watoto

Moody Junior wa Temeke Mikoroshini  hana hili wala lile. Ingawa ameungua mkononi lakini anaendelea kucheza.  Si vizuri kuwaacha watoto peke yao kwa muda mrefu wanatakiwa uangalizi wa karibu ili wasipatwa na madhara kama haya ya kuungua. Pole sana Moody Junior.

No comments: